MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA ARMENIA NA MUAZILISHI WA BLOOMBERG ECONOMY - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 17, 2021

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA ARMENIA NA MUAZILISHI WA BLOOMBERG ECONOMY

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Rais wa Armenia Mhe.Armen Sarkissian walipokutana kabla ya kuanza kwa Jukwaa la Nne Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg linalofanyika Nchini Singapore. Nov 17, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Mwanzilishi na Muandaaji wa Jukwaa la Nne la Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg Mhe. Micheal Bloomberg linalofanyika Nchini Singapore walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano huo. Novemba 17,2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na muanzilishi na muaandaaji wa Jukwaa la Nne Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg Mhe. Micheal Bloomberg linalofanyika Nchini Singapore walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano huo. Novemba 17,2021
Balozi wa Tanzania nchini India Baraka Luvanda akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu na Mbia Mwanzilishi wa Master Card wakati walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Jukwaa la Nne la Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg linalofanyika katika Hoteli ya Cappella Kisiwa cha Santosa Nchini Singapore. Novemba 17,2021.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad