BENKI YA NMB YATWAA TUZO KUTOKA MASTERCARD - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 12, 2021

BENKI YA NMB YATWAA TUZO KUTOKA MASTERCARD

 

Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (wa pili kulia) akionyesha tuzo maalum iliyotolewa na MasterCard baada ya kuipokea kutoka kwa Meneja Mkazi wa MasterCard - Afrika Mashariki, Shehryar Ali (wa pili kulia), Benki ya NMB imetwaa tuzo hiyo kutokana na kuwa Benki kiongozi katika matumizi ya Kadi hapa nchini. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa Benki ya NMB, Philbert Casmir  na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa MasterCard Afrika Mashariki, Victor Ndlovu

Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (katikati) na Meneja Mkazi wa MasterCard - Afrika Mashariki, Shehryar Ali (wa nne kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wengine wa Benki ya NMB na MasterCard, katika hafla fupi ya kupokea tuzo hiyo, leo kwenye makao makuu ya NMB, jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad