Vodacom Tanzania Plc yazindua Vodacom Shop wilayani Tunduru - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 1, 2021

Vodacom Tanzania Plc yazindua Vodacom Shop wilayani Tunduru

 
Katibu Tawala wa Wilaya ya Tunduru Augustino Maneno (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka la Vodacom wilaya Tunduru kwenye hafla iliyofanyika wilayani humo leo. Vodacom Tanzania Plc imezindua duka hilo wilayani Tunduru ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake. Kulia ni Mkuu wa Mauzo wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen na kushoto ni Mshirika wa kibiashara Emmanuel Makaki.Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wilaya ya Tunduru wakifurahi kuzinduliwa kwa Vodacom Shop wilayani humo.


Mmoja wa wahudumu wa duka la Vodacom Shop wilayani Tunduru Coleta Chuwa akimhudumia moja ya wateja wa kampuni hiyo baada ya kuzindua duka la Vodacom Shop wilayani humo ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad