HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 22, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA WAKURUGENZI WA KUU WA MIFUKO YA HUDUMA TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi za jamii Tanzania Bara na Zanzibar walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 22/10/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii Tanzania Bara na Zanzibar (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 22/10/2021.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad