Rais Samia amuapisha Jaji Kiongozi, Jaji Mahakama wa Rufani Rufani, Mkuu wa Mkoa Shinyanga na kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa China - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 11, 2021

Rais Samia amuapisha Jaji Kiongozi, Jaji Mahakama wa Rufani Rufani, Mkuu wa Mkoa Shinyanga na kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa China

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Sofia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga  leo tarehe 11 Oktoba 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania  leo tarehe 11 Oktoba 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania leo tarehe 11 Oktoba 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Serikali mara baada ya kuwaapisha Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mhe. Sofia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 11 Oktoba 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwaapisha Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mhe. Sofia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 11 Oktoba 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa China Mhe. Chen Mingjian Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 11 Oktoba 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kupokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Chen Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 11 Oktoba 2021.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad