HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 18, 2021

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Dodoma akitokea Mkoani Arusha

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kuondoka na kurejea Jijini Dodoma mara baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 2 ya kikazi mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 18 Oktoba, 2021 wakati akitokea Mkoani Arusha.  PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad