HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 12, 2021

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA COMORO NCHINI TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ahamada El Badoi Mohamed Fakih baada ya mazungumzo yao aliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/10/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ahamada El Badoi Mohamed Fakih wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 12 /10/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na Mgeni wake Balozi wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ahamada El Badoi Mohamed Fakih baada ya mazungumzo yao aliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 12/10/2021.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad