NSSF MKOA WA KINONDONI YAANZA MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 5, 2021

NSSF MKOA WA KINONDONI YAANZA MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

  


 Afisa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Kinondoni, Mohamed Abeid, akiwasikiliza wanachama na wadau waliofika kupata huduma katika Ofisi za Mfuko wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Kinondoni, Joseph Fungo (katikati) akiwahudumia baadhi ya wanachama waliofika kupata huduma katika Ofisi za NSSF Kinondoni, wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.

Baadhi ya wanachama na wadau wa NSSF wakisubiri kupata huduma katika Ofisi za Mfuko huo Kinondoni, ikiwa ni Wiki ya Huduma kwa Wateja
   Afisa Mwandamizi Mkuu wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Kinondoni, Weraisaria Mushi (kushoto) akimsikiliza kwa makini mwanachama wa NSSF aliyefika katika ofisi hizo kupata huduma wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Joseph Fungo (kushoto) akimuhudumia mwanachama aliyefika kupata huduma wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Huduma kwa Wateja wa NSSF, Robert Kadege (kushoto) akiwahudumia wanachama na wadau waliofika kupata huduma mbalimbali katika Ofisi za Mfuko huo Kinondoni, wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja. 
 

 Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF, Lulu Mengele, akimuhudumia mwanachama katika Ofisi za NSSF Kinondoni, wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Baadhi ya wanachama wa NSSF wakiendelea kupata huduma mbalimbali katika Ofisi za NSSF Kinondoni ikiwa ni Wiki ya Huduma kwa Wateja.

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad