HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 18, 2021

Ng’ombe 15 wafa kwa Radi Tabora

Zaidi ya  ng’ombe 15 wamekutwa wamekufa kwa kile kinachodiwa kuwa wamepigwa na radi katika kijiji cha Mwibiti, Ikomwa kilichopo manispaa ya Tabora.

Inadaiwa kuwa tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia leo, ambapo katika zizi moja lililokuwa na ngo’ombe 30 kati yao 15 walikuwa wamekufa. Alisimulia Nhomano Lugwesa ambaye ni mfugaji na mmiliki wa ng’ombe hao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad