HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 20, 2021

Kitengo cha Nyanya

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa iliinasa taswira hii mwanana kabisa ilipotia timu katika soko la Mabibo maarufu kama mahakama ya ndizi, jijini Dar es salaam. Inaelezwa kuwa katika soko hilo kila kuli (Mbeba Mizigo)  anakuwa katika kitengo chake na hakuna kuingiliana katika kazi, na kila mmoja utamtambua kwa kivazi chake kama hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad