HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 16, 2021

EX NIHILO ndio suluhisho la huduma za ufundi na za kawaida sehemu za kazi, sehemu za biashara na nyumbani


EX NIHILO Tunatoa  huduma  zote za ufundi  na za kawaida sehemu  za kazi,  sehemu za biashara  na nyumbani.

Mara kwa mara  ukiwa nyumbani, ukiwa na ofisi,  kiwanda,  apartment, hoteli,  lodge,  shule, camp, ujenzi wa nyumba au barabara utahitaji  msaada wa mafundi  au watu  wenye ujuzi na uzoefu  wa kufanya kazi za aina  fulani  za kila siku.

Mfano  mafundi  umeme,  Ac,  mabomba,  ujenzi,  swimming pool, generators, kuezeka,  computer nk. Pia wafanya  usafi, watunza  bustani,  watoaji  taka,  ulinzi, wafanyakazi, vibarua nk.

Unaweza  ukawatafuta  mwenyewe unapowahitaji lakini  kuna  usumbufu  wa uaminifu, kupatikana  kwa  wakati,  gharama  kubwa,  ubora hafifu, kupata thamani ya pesa yako, uharibifu wa mali, vitu  na hata  wizi.  

Kuepukana  na yote  haya  karibu  Ex Nihilo-Intergrated Facility Management Services. Utapata  huduma  zote  hizi  kwa wataalam walioajiriwa  na wanaosimamiwa na kampuni wakati  wote.

Tupigie  simu namba  0754 557037/0682 783839 au barua  pepe  info@exnihilo.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad