

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akipokea zawadi ya Keki
kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania
(TAPIA), Mahmoud Mringo ikiwa ni sehemu ya shukrani zao kwake kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa
Tatu wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania (TAPIA), uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Blue
Sapphire, Mbezi Beach, Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano
wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa na kushoto ni Katibu Mkuu wa
Chama hicho, Albert Katagira.
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi Tanzania
(TAPIA), Mahmoud Mringo akizungumza
wakati akitoa salamu
za Chama chao kwa mgeni rasmi,
katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tatu wa Chama cha Wamiliki wa Shule Binafsi
Tanzania (TAPIA) uliodhamini na Benki ya CRDB na kufanyika kwenye
Ukumbi wa Blue Sapphire, Mbezi Beach, Dar es salaam.

No comments:
Post a Comment