WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA UNHCR KANDA YA PEMBE YA AFRIKA MASHARIKI NA MAZIWA MAKUU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 8, 2021

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA UNHCR KANDA YA PEMBE YA AFRIKA MASHARIKI NA MAZIWA MAKUU

 

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi Kanda ya Pembe ya Afrika Mashariki na Maziwa Makuu, Clementine Salami, masuala mbalimbali ya Wakimbizi, leo Septemba 8, 2021, jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi Kanda ya Pembe ya Afrika Mashariki na Maziwa Makuu, Clementine Salami (kulia), masuala mbalimbali ya Wakimbizi, leo Septemba 8, 2021, jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi wa Wizara hiyo, Sudi Mwakibasi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi wa Wizara hiyo, Sudi Mwakibasi, kabla ya kuanza kwa Kikao na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi Kanda ya Pembe ya Afrika Mashariki na Maziwa Makuu, pamoja na wasaidizi wake, leo Septemba 8, 2021, jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kulia), akiagana na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR),Kanda ya Pembe ya Afrika Mashariki na Maziwa Makuu, Clementine Salami, baada ya kumaliza Kikao chao kilichojadili masuala mbalimbali ya Wakimbizi, leo Septemba 8, 2021, jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi wa Wizara hiyo, Sudi Mwakibasi, na kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa UNHCR Nchini, Jose Canhandula.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR)Kanda ya Pembe ya Afrika Mashariki na Maziwa Makuu, Clementine Salami (watatu kushoto), baada ya kumaliza Kikao chao kilichojadili masuala mbalimbali ya Wakimbizi, leo Septemba 8, 2021, jijini Dodoma. Wapili Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi wa Wizara hiyo, Sudi Mwakibasi, na wapili kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa UNHCR Nchini, Jose Canhandula.

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Sudi Mwakibasi (kulia), akimfafanulia jambo Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi Kanda ya Pembe ya Afrika Mashariki na Maziwa Makuu, Clementine Salami, baada ya kumaliza Kikao na Waziri wa Wizara hiyo na Mkurugenzi huyo wa UNHCR cha kujadili masuala mbalimbali ya Wakimbizi, leo Septemba 8, 2021, jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad