SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ALGERIA NA PAKISTAN JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 1, 2021

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ALGERIA NA PAKISTAN JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akipokea kitabu kutoka kwa Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Adjellah alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Adjellah alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Adjellah alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Pakistan nchini Tanzania ulioongwa na Balozi wa Pakistan nchini, Mhe. Muhammad Saleem (wapili kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021, Kushoto ni Afisa Itifaki Mwandamizi Ofisi ya Bunge, Zainab Kihange
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Muhammad Saleem alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Muhammad Saleem alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Balozi wa Pakistan nchini Tanzania, Mhe. Muhammad Saleem alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 1, 2021
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad