HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 15, 2021

Samia Suluhu Hassan ahutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Demokrasia DunianiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanawake pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama vya Siasa katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Duniani iliyofanyika leo tarehe 15 Septemba, 2021 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo (kama kiashiria cha Ushindi wa Mwanamke Mtanzania) kutoka kwa Mwenyekiti wa Azaki ya Tanzania Women Cross-Party Platform/ULINGO Mama Anna Abdallah kabla ya kuhutubia katika siku ya maadhimisho ya Kimataifa ya Demokrasia Duniani iliyofanyika leo tarehe 15 Septemba, 2021 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad