HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 17, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA

 RAIS  wa  Zanzibar  na  Mwenyekiti  wa  Baraza  la  Mapinduzi  Mhe. Dk. Hussein  Ali  Mwinyi akizungumza  na  Balozi  wa  Marekani  Nchini Tanzania Mhe.Donald Wright (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 17-9-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akifuatana na mgeni wake Balozi wa Marekani  Nchini Tanzania  Mhe. Donald  Wright ,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 17-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein  Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald Wright , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akibadilishana  mawazo  na  mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe Donald Wright, wakiwa nje ya ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 17-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald Wright , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad