RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI ATEMBELEA HOSPITALI YA MICHEWENI PEMBA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 1, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI ATEMBELEA HOSPITALI YA MICHEWENI PEMBA

 

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Micheweni Pemba wakati wa ziara yake baada ya kupata maelezo kutoka kwa Uongozi wa hospitali hiyo na kuitangaza rasmin kuwa Hospitali ya Wilaya.(Picha na Ikulu)
MADAKTARI na Wauguzi wa Hospitali ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakiti wa ziara yake kuona maendeleo ya hospitali hiyo na kuipandisha kuwa Hospitali ya Wilaya.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Maabara Hospitali ya Micheweni Pemba Dkt. Shahid Mansoor, alipotembelea Maabara ya hospitali hiyo akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad