Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mathew Modest Kilama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Togolani Edriss
Mavura kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini katika hafla fupi
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe
27 Septemba, 2021.Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Mathew Modest Kilama akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini Togolani Edriss Mavura wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021. PICHA NA IKULU
Monday, September 27, 2021

Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha viongozi Wawili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment