Rais Samia asimikwa rasmi kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 8, 2021

Rais Samia asimikwa rasmi kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisimikwa kuwa Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa Chifu Hangaya katika hafla ya kilele cha Tamasha la Utamaduni, lililofanyika leo kwenye viwanja vya Redcross, Kisesa jijini Mwanza.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad