Rais Samia ashiriki ufunguzi mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la UN - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 21, 2021

Rais Samia ashiriki ufunguzi mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la UN

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Sept 21,2021 ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaofanyika Jijini New York Marekani. PICHA NA IKULU. 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad