Rais Samia akutana na kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Ikulu Chwamwino - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 28, 2021

Rais Samia akutana na kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Ikulu Chwamwino

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 28,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki hiyo Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 28,2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad