Rais Samia afungua mkutano mkuu maalum wa ALAT Jijini Dodoma - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 27, 2021

Rais Samia afungua mkutano mkuu maalum wa ALAT Jijini Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Septemba 27, 2021.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad