HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 6, 2021

Rais asalimiana na Wananchi wa Karatu

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mkoani Arusha leo Sept 06,2021 alipokua njiani akielekea Ngorongoro kwa ajili kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad