Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na LSF wakutana na Chama cha Wanasheria Zanzibar - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 12, 2021

Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na LSF wakutana na Chama cha Wanasheria Zanzibar

 


Afisa Mtendaji Mkuu wa LSF,  Lulu Ng’wanakilala akiwa katikati picha ya pamoja na  Katibu Mkuu Ofisi ya  Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Seif Shaaban Mwinyi  pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria  Tanzania Bara Bw Amon Mpanju wakati wa kikao na Chama cha Mawakili Zanzibar
Afisa Mtendaji Mkuu wa LSF bi Lulu Ng’wanakilala akifuatilia kikao kati ya Wizara ya Katiba na Sheria bara na visiwani chenye lengo la kuelewa utendaji wa Chama cha Mawakili Zanzibar pamoja kupeana uzoefu katika utekelezaji wa  huduma msaada wa kisheria nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiendesha kikao kilichoshirikisha chama cha mawakili Zanzibar
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad