MAJALIWA AKAGUA DARAJA LA KOGA KWENYE MPAKA WA MIKOA YA TABORA NA KATAVI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 27, 2021

MAJALIWA AKAGUA DARAJA LA KOGA KWENYE MPAKA WA MIKOA YA TABORA NA KATAVI

 

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipita juu ya daraja la Koga kwenye  mpaka wa mikoa ya Tabora na Katavi wakati alipokagua ujenzi wa barabara ya Tabora – Mpanda na daraja hilo, Agosti 27, 2021.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Batilda Burian. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizingumza na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Batilda Burian (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwananvua Mrindoko  (katikati) wakati alipowasili kweye daraja la Koga linalotenganisha mikoa hiyo kukagua  daraja hilo ambalo ujenzi wake umekamilika, Agosti 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Muonekano wa Daraja la Koga kwenye mpaka wa mkoa wa Tabora  na Katavi ambalo ujenzi wake umekamilika na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alilikagua , Agosti 27, 2021. Kushoto ni daraja la zamani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na  viongozi wa Mkoa wa  Katavi baada ya kukagua ujenzi wa daraja la mto Koga kwenye mpaka wa Mikoa ya Tabora na Katavi, Agosti 26, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad