Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua
Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristi Tanzania (CCT) katika Eneo la
Kilakala Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)
alipowasili katika Eneo la Kilakala Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021
kwa ajli ya kufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya kikristo Tanzania (CCT). Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisindikizwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Baada
ya kufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya kikristo Tanzania (CCT) Mkoani
Morogoro leo Julai 08,2021.
Awesome and interesting article. Great things you've always shared with us. Thanks. Just continue composing this type of post.
ReplyDelete