WAZIRI MHAGAMA ASHIRIKI MKUTANO WA 109 WA NCHI WANACHAMA WA SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO) KWA NJIA YA MTANDAO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 8, 2021

WAZIRI MHAGAMA ASHIRIKI MKUTANO WA 109 WA NCHI WANACHAMA WA SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO) KWA NJIA YA MTANDAO

 

 


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akiwa pamoja na Kamishna wa Kazi Brig. Gen. Francis Mbindi wakishiriki mkutano wa 109 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) uliofanyika kwa njia ya Mtandao katika Ukumbi wa Mkutano uliopo jengo la PSSSF Jijini Dodoma tarehe 7 Juni, 2021.


Mwenyekiti wa Mkutano huo wa 109 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Kazi Duniani Mhe. Omar Zniber akifungua mkutano huo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika Mkutano huo wa 109 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) uliofanyika kwa njia ya Mtandao.


Baadhi ya Washiriki kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) pamoja na Taasisi zilizopo chini ya Ofisi hiyo wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika Mkutano huo wa 109 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Kazi (ILO) uliofanyika kwa njia ya Mtandao katika Ukumbi wa Mkutano uliopo jengo la PSSSF Jijini Dodoma tarehe 7 Juni, 2021.

 

PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(SERA, BUNGE, URATIBU, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad