NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA WA KWANZA WA BUNGE LA MALAWI BUNGENI JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 8, 2021

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA WA KWANZA WA BUNGE LA MALAWI BUNGENI JIJINI DODOMA

 

 

 

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Malawi wakiongozwa na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo (watatu kushoto) walipomtembelea leo nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Juni 8, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad