EPL NA LALIGA KUNOGESHA WIKIENDI HII - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 1, 2021

EPL NA LALIGA KUNOGESHA WIKIENDI HII


Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

BAADA ya purukushani za Ligi ya Mabingwa na Ligi ya Europa. EPL na LaLiga kuendelea tena wikiendi hii. Msimu wa 2020/21 unaendelea kuyoyoma taratibu! Mambo yapo hivi;


Crystal Palace watawaalika Man City pale Selhurst Park. City anahitaji pointi 6 tu kutangaza ubingwa wa EPL msimu huu, ataanzia kwa Palace? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.32 kwa City.


Kwenye LaLiga, Real Madrid kuchuana na Osasuna. Barca wamepoteza mchezo dhidi ya Granada, fursa kwa Madrid kuweka wigo la pointi katika mbio za kuwania ubingwa. Ifuate Odds ya 1.37 kwa Madrid ukiwa na Meridianbet.


Valencia kuwaalika Barcelona Jumapili hii. Maumivu ya kupoteza mchezo uliopita, yatawapa motisha Barca wikiendi hii? Ifuate Odds ya 1.37 kwa Barcelona ndani ya Meridianbet.


Mbivu na mbichi kujulikana pale Old Trafford. Man United vs Liverpool, mahasimu wa EPL toka enzi na enzi. United anahitaji kujihakikishia nafasi ya 2 kwenye msimamo wa EPL, Liverpool anahaha kuitafuta nafasi ya kucheza Ligi ya mabingwa msimu ujao, hapatoshi! Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.69 kwa United.


Jumatatu hii itakuwa ni zamu ya Burnley kuwaalika West Ham United pale Turf Moor. Vijana wa David Moyes wanajambo lao msimu huu. Odds ya 2.20 imewekwa na Meridianbet kwa West Ham United.


Kwenye Bundesliga, Mainz kuwaalika Hertha Berlin. Unaweza kutengeza faida kwa kuifuata Odds ya 1.95 kwa Hertha Berlin kupitia Meridianbet. Karibu kwenye Nyumba ya mabingwa! 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad