EPL, LALIGA NA BUNDESLIGA KUTAMATIKA WIKIENDI HII - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 21, 2021

EPL, LALIGA NA BUNDESLIGA KUTAMATIKA WIKIENDI HII

 

 *Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

MECHI kibao za ligi mbalimbali kutamatika wikiendi hii, hatma ya timu mbalimbali kujulikana. Huku timu nyingine zikitangazwa mabingwa, nyingine zinapambana kutokushuka daraja. Meridianbet imekuandalia Odds za kijanja sana kukamilisha msimu, bashiri sasa!

Katika La Liga, Ijumaa hii, Levante watakuwa nyumbani kucheza na Cadiz. Ukichagua kubashiri na Meridianbet, utakuta Odds ya 1.85 kwa Levante kwa ajili yako.

Siku ya jumamosi kutakuwa na mechi kadhaa, Kule Bundesliga, Hertha wakutakuwa ugenini kuvaaana na Hoffenheim, Meridianbet imekuandalia Odds ya 2.10 kwa Hoffenheim, bashiri sasa!

Katika Laliga, Celta Vigo baada ya kuwaharibia shughuli Barcelona watakuwa nyumbani kuwaalika Real Betis. Ukibashiri na Meridianbet, utakuta odds ya 2.20 kwa Real Betis. 

Kunako Serie A, Crotone watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Fiorentina, na Meridianbet kwa upendo kabisa tumekuwekea Odds ya 2.05 kwa Fiorentina. 

Na siku ya Jumapili, kule EPL, Vijana wa Rodgers, Leicester City watakuwa nyumbani kuwaalika Tottenham, mechi hii ni muhimu kwa Leicester City ili wacheze UEFA msimu ujao. Leicester City wamewekewa Odds ya 2.10 na Meridianbet. 

Na katika Serie A, Benevento watashuka dimbani tena kuwakabili Torino, ambao wanahitaji alama tatu ili kusalia Serie A msimu ujao. Odds ya 2.00 inakusubiri kwa upande wa Torino ukibashiri na eridiabet. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad