HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 13, 2021

#VIDEO: Benki ya CRDB, TIOB wazindua Kadi mpya kwa wanachama wa TIOB

Mkurugenzi wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa (katikati) akizungumza katika hafla fupi ya Uzinduzi wa Kadi ya Uanachama wa Taasisi ya Taaluma ya Kibenki Tanzania (TIOB) uliofanyika leo Aprili 13, 2021 kwenye ofisi za Taasisi hiyo, zilizopo eneo la Kinondoni Morocco, Dar es salaam. Kadi hiyo pia inaweza kutumika kama Kadi ya Malipo ya kibenki ambayo inaweza kutumia kufanya malipo mbalimbali, kutoa fedha kwenye ATMs au kwa Wakala yeyote wa Benki ya CRDB. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Kibenki Tanzania (TIOB),Patrick Mususa  na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa Benki ya CRDB, Farid Seif.



Baadhi ya Wanachama wa 
Taasisi ya Mabenki Tanzania (TIOB) na wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo.
Picha ya pamoja.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad