HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 12, 2021

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2021.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Makete, Festo Sanga Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2021. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2021. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 12, 2021.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad