Baadhi
ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakimsikiliza
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile
(hayupo pichani) wakati akiwasilisha taarifa ya makadirio ya mapato na
matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2021/22 kwenye kikao
kilichofanyika Bungeni, Dodoma
Mjumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Masache Kasaka akichangia
hoja baada ya Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt.
Faustine Ndugulile (hayupo pichani) kuwasilisha taarifa ya makadirio ya
mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2021/22 kwenye kikao
kilichofanyika Bungeni, Dodoma
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Anne Kilango
Malecela na mjumbe wa Kamati hiyo, Ally Jumbe wakipitia taarifa ya
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile
(hayupo pichani) kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo
kwa mwaka 2021/22 baada ya kuwasilisha kwenye Kamati hiyo Bungeni,
Dodoma.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew
(wa kwanza kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt.
Zainab Chaula mara baada ya Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Faustine
Ndugulile kuwasilisha taarifa ya makadirio ya mapato na matumizi ya
Wizara hiyo kwa mwaka 2021/22 kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Miundombinu Bungeni, Dodoma
Waziri
wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile
akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu
(wanaomsikiliza) wakati akiwasilisha taarifa ya makadirio ya mapato na
matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2021/22 Bungeni, Dodoma.
No comments:
Post a Comment