
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Dk,Mehment Gulluoglu (wa pili kulia) akiwaongoza Mabalozi wa Comoro na Pakstani na viongozi mbalimbali kukata utepe kuashiria Uzinduzi wa Msikiti wa Rehema uliopo Madale jijini Dar es Salaam.Meneja Mwendeshaji wa Tassisi ya Rehema, Zuberi Salumu akizungumza na waumini wa msikiti huo baada ya ufunguzi Rasmi uliofanyika Madale jijini Dart es Salaam
Waumini wa kiislamu wakiwa ndani ya msikiti wa Rehema wakati wa ibada ya Ijumaa Uliojengwa na Tasisi ya Rehema kwa kushirikiana na tasisi ya Hudayi kutoka uturukiMuonekano wa Jengo la msikiti wa Rehma uliopo Madale Dar
Mwakilishi wa Taasisi ya Rehema akigawa msaada wa Futari kwa watu wenye Mahitaji baada ya uzinduzi wa msikiti huo
No comments:
Post a Comment