HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 2, 2021

WAZIRI ASHIRIKI KUTOA MAWE MRADI WA UJENZI WA SHULE

 

 


Wananchi wa Kijiji cha Bambi wakishiriki zoezi la kukusanya mawe  katika eneo la  Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo(kushoto), akishiriki zoezi la kung’oa  mawe katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi  ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi



Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini, Khamis Hamza Chilo  akishiriki zoezi la kupasua mawe katika Kijiji cha  Bambi Shehia ya Bambi Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo ni eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kuwaondolea adha wanafunzi ya kutembea umbali mrefu wanafunzi wa Kijiji hicho kufuata elimu.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad