HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 2, 2021

KILA WIKI NI FURSA YA KUTENGEZA FAIDA UKIWA NA MERIDIANBET

 A picture containing text, person, player, sport

Description automatically generated

Ni Meridianbet Pekee Utakapopata Odds na Bonasi Kubwa!


UNGWE ya pili kunako msimu wa soka 2020/21 inaendelea kuchanja mbuga. EPL Kumenoga! Msimamo wa ligi unabadilika kila baada ya 90 kwenye viwanja mbalimbali.


Jumanne hii ni Sheffield United vs West Brom Albion. Uhondo mzima wa EPL utaupata pale ambapo timu zinazopambana kutoshuka daraja zikikutana. Hapatoshi!! Meridianbet tumekuwekea odds ya 2.00 kwa Sheffield United.


Wolves vs Arsenal. Timu mbili zenye mienendo miwli tofauti msimu huu. Wolves wanaonekana kupungua makali kwa siku za karibuni, Arsenal ni kama gari limewaka muda sio mrefu. Lolote linaweza kutokea ila kwetu Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.40 kwa Arsenal.


Jumatano ni Fulham vs Leicester City. Vita ya kuwania nafasi 4 za juu dhidi ya kuokoa jahazi lisizame msimu ujao. Meridianbet tumekusogezea Odds ya 2.05 kwa Leicester City kwenye mchezo huu.


Aston Villa uso kwa uso na West Ham United. Bado mambo sio shwari kwa Villa ambaye amekuwa akipoteza pointi kwa siku za karibuni, West Ham sio haba – wanajitutumua kwenye nafasi za juu kwenye msimamo wa EPL. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30 kwa Aston Villa.


Kule kwenye Ligue 1, St Etienne atapambana na Nantes. Kwa dau lako lolote, unaweza kujipatia faida kupitia mchezo huu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa St. Etienne kama mweneyeji wa mchezo huu.


Bila shaka macho ya wengi yatakuwa pale London. Alhamisi hii ni Tottenham Hotspurs vs Chelsea. Kocha Jose Mourinho akimkaribisha Thomas Tuchel sambamba na timu yake ya zamani.


Spurs ataingia kwenye mchezo huu akiwa na machungu ya kufungwa na Brighton, Chelsea anakuja na morali ya kuwafunga Burnley. Hakika dakika 90 za mchezo huu, ni fursa kubwa kwako bingwa wa michezo ya kubashiri.

Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.40 kwa Chelsea kwenye mchezo huu.


Meridianbet, Nyumba yenye Odds bora na Bonasi Kubwa!! 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad