KAMPUNI YA TANGA FRESH YAKISHIRIKI TAMASHA LA DAM DAM LEO JIJINI DAR ES SALAAM - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 13, 2021

KAMPUNI YA TANGA FRESH YAKISHIRIKI TAMASHA LA DAM DAM LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Masoko wa Tanga Fresh Ltd, Ally Sechonge (kulia)akiwa ameshika box la maziwa ya Tanga Freh mara baada ya kumaliza  kukimbia katika tamasha la Dam Dam lililoandaliwa na Clouds Fm leo Februari 13, 2021 katika viwanja vya Farasi Oysterbay  jijini Dar es Salaam. Ambapo amewaomba wananchi kujenga utamaduni wa kupenda kunywa Maziwa ya Tanga Fresh kila siku badala ya kusubiri washauriwe na Madaktari, Leo jijini Dar Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad