WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Sheria, Katiba, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.
Haroun Ali Suleiman akikabidhiwa CD ya Mashairi (NASHEED) na Sheikh Habib
Othman Mazinge.(kulia) wakati wa Tamasha
la Kwanza la “Pongezi kwa Wana” lililoandaliwa na Taasisi ya Tawfiq Nasheed
Fuondation Zanzibar, akimuakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya
Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.
Haroun Ali Suleiman, akizungumza na kuhutubia katikia hafla ya Tamasha la
Kwanza la la Pongezi kwa Wana lililoandaliwa na Taasisi ya Tawfiq Nasheed Foundation
Zanzibar, akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk. Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa
Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora Zanzibar.Mhe
Haroun Ali Suleiman akimkabidhi zawadi Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Nasheed
Mwanafunzi Nasra Abdalla Mohammed akikabidhiwa Friji na Msahafu na fulana, wakati
wa hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana lililofanyika katika
ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora Zanzibar.Mhe
Haroun Ali Suleiman akimkabidhi zawadi Mshindi wa Pili wa mashindano ya Nasheed
Mwanafunzi Hashiat Ramadhan Jussa, akikabidhiwa Charahali na Msahafu na fulana,
wakati wa hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana lililofanyika
katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora Zanzibar.Mhe
Haroun Ali Suleiman akimkabidhi zawadi Mshindi wa Tatu wa mashindano ya Nasheed
Mwanafunzi Mudrik Mselem Ali, akikabidhiwa Baskeli Msahafu na fulana, wakati wa
hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana lililofanyika katika ukumbi
wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZAZI
wa Wanafunzi wanaoshiriki Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana la Mashindano
ya Nasheed lililoandaliwa na Taasisi ya Tawfiq Nasheed Foundation Zanzibar
wakifuatilia tamasha hilo lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madra
Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment