

Waziri
wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatia maelezo Waziri wa Mambo
ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa aina mbalimbali na minofu
yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea
Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8,
2021.
Waziri
wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki na Waziri wa Mambo ya Nje wa
China Mhe. Wang Yi wakipata maelezo kuhusu minofu ya samaki
wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo
wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021
Waziri
wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiongea na wavuvi na wadau
wengine wa sekta ya uvuvi alipotembelea na mkujionea shughuli mbalimbali
zinazofanyika katika Mwalo wa samaki la Chato Mkoani Geita
alikotembelea leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara
yake nchini
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba
Kabudi akimkaribisha rasmi nchini Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe.
Wang Yi na ujumbe wake kabla ya kufanyika mazungumzo rasmi wa pande hizo
mbili mjini Chato mkoa wa Geita leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni
siku ya pili ya ziara yake nchini
No comments:
Post a Comment