Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Joannes Karungura akizungumza na Wakuu wa Kampuni za Mawasiliano juu ya kuboresha huduma vifurushi vya Bando ikiwa ni agizo la Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ya Mamlaka hiyo kukutana na wadau hao kujadili namna ya kuboresha vifurushi vya Bando Jijini Dar es Salaam.
Thursday, January 7, 2021

TCRA YATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI NDUGULILE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment