RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN MWINYI NA MAKAMU WAKE WA KWANZA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD WAMTEMBELEA RAIS DKT. MAGUFULI KIJIJINI CHATO LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 14, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN MWINYI NA MAKAMU WAKE WA KWANZA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD WAMTEMBELEA RAIS DKT. MAGUFULI KIJIJINI CHATO LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad alipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita. Katikati ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiangalia leo Alhamisi Januari 14, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 14, 2021 .PICHA NA IKULU 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad