RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA JAMHURI YA ETHIOPIA MHE SAHLE-WORK ZEWDE ALIYEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 25, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA JAMHURI YA ETHIOPIA MHE SAHLE-WORK ZEWDE ALIYEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege waGeita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe.
Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya
siku moja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde alipowasili katika Uwanja wa
Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya
kikazi ya siku moja.

 

Ndege iliyomchukua Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work
Zewde ikwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo
Jumatatu Januari 25, 2021

Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde akitelemka
katika ndege mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini
Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad