MASACHE KASAKA AZINDUWA KAMPENI YA KUPANDA MITI CHUNYA. - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 15, 2021

MASACHE KASAKA AZINDUWA KAMPENI YA KUPANDA MITI CHUNYA.


Mbunge wa jimbo la Lupa (Chunya) Mh.Masache Kasaka azinduwa Kampeni ya upandaji Miti kwa Mwaka 2021 akiwa Mgeni Rasmi Katika uzinduzi huo, malengo ya Wilaya ya Chunya ni Kupanda Miti zaidi ya Millioni moja katika maeneo tofauti tofauti ya wilaya ya chunya.

Mbunge wa jimbo la Lupa (Chunya) Mh.Masache Kasaka akipanda Mti Katika uzinduzi wa kampeni Wilaya ya Chunya.
Mbunge wa jimbo la Lupa (Chunya) Mh.Masache Kasaka akipita kuwatembelea vijana wa SKAUTI waliohudhulia katika hafla hiyo ya upandaji wa miti katika maeneo tofauti tofauti ya wilayani Chunya.


Mbunge wa jimbo la Lupa (Chunya) Mh.Masache Kasaka akisikiliza na kupokea risala iliyoandaliwa na ofisi ya mkuu wa wilaya katika uzinduzi wa Kampeni ya upandaji Miti kwa Mwaka 2021.


Muonekano wa Mti ulio pandwa na Mbunge wa jimbo la Lupa mh. Masache Kasaka ikiwa ni ishara ya upandaji Miti katika wilaya ya chunya na zoezi hili litaendelea kuanzia sasa katika maeneo tofauti tofauti ya wilaya ya Chunya.
PICHA NA OFISI YA MBUNGE CHUNYA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad