MAJALIWA AFUNGUA JENGO LA HALMASHAURI YA MJI MBINGA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 4, 2021

MAJALIWA AFUNGUA JENGO LA HALMASHAURI YA MJI MBINGA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo Kutoka kwa Mkurugenzi  wa Halmashauri ya Mji Mbinga, Grace Quintine (kushoto)  kuhusu ukumbi wa Halmashauri ya Mji Mbinga wakati alipofungua jengo la Halmashauri hiyo, Januari 4, 2021. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme wakifungua Jengo la Ofisi  za Halmashauri ya Mji  Mbinga, Januari 4, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  baada ya kukagua nyumba ya makazi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga , Januari 4, 2021. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga  Cosmas Mshenye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Nyumba za Wakuu wa Idara  za Halmashauri ya wilaya ya Mbinga  ambazo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alizikagua Januari 4,2020.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Januari 4, 2021. Wa pili kulia ni Mkewe Mary , kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Odo  Mwisho. Wa nne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme , wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Cosmas Msheny na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Grace Quintine. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma  wakati alipokagua nyumba 7 za Wakuu wa Idara za  Halmashauri ya Mji wa Mbinga zilizojengwa  na Serikali kwa gharama ya sh. Milioni 321.771, Januari 4, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 

 

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad