Mafundi wakiendelea na ujenzi wa barabara ya Bagamoyo kipande cha kilometa 4.3 cha Mwenge – Morocco, leo wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kama inavyoonekana pichani.
Miongoni mwa Barabara zilizojengwa kwa kiwango cha lami kipindi cha serikali ya awamu ya tano ni Barabara inayoanzia Morocco hotel hadi Sinza Kijiweni Km 5, Barabara ya Tandale muonekano wa barabra hiyo kwa sasa kama unavyoonekana pichani.
(Picha na Emmanuel Massaka ,Michuzi Tv)
Upanuzi wa barabara ya Bamaga - Shekilano umefikia hapa kwa sasa kama ivavyoonekana pichani Barabara hii ina urefu wa kilomita 3.7.
No comments:
Post a Comment