EPL, LA Liga na Everdise Kuchezwa Katikati ya Wiki Hii - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 12, 2021

EPL, LA Liga na Everdise Kuchezwa Katikati ya Wiki Hii

Logo, company name

Description automatically generated

 *Ligi Mbalimbali Barani Ulaya Kutimu Vumbi Wiki Hii! Meridianbet Tumekuwekea Odds Za Kibingwa.

KUNAKO EPL Jumanne hii, Sheffield United uso kwa uso na Newcastle United. Sheffield ya msimu huu ni tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita. Vijana wa Bramall Lane wameambulia pointi 2 katika michezo 17 ya EPL wakiwa wanashika mkia kwenye msimamo wa ligi hiyo. Newcastle United ameshaokota pointi 19 katika michezo 16 aliyocheza mpaka sasa na anashika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa EPL. Licha ya kuwa na viwango duni, Sheffield United amepatiwa odds ya 2.65 ni Meridianbet pekee unapoweza kupata odds za kibingwa kama hizi.

Siku ya Jumatano, Aston Villa atakichafua dhidi ya Tottenham. Huu umekuwa ni msimu wa neema kwa Villa ambao waliponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita. Baada ya michezo 15, Villa anapointi 26 akiwa nafasi ya 8. Spurs anashika nafasi ya 4 akiwa amemzidi Villa kwa pointi 3 na mchezo 1. Meridianbet tumekuwekea Odds zinazoendana na mchezo huu ambapo Spurs amepatiwa nafasi ya kumuadhibu Villa kwa Odds ya 1.53.


Alhamisi tunahitimisha EPL kwa kuwashuhudia Arsenal vs Crystal Palace. Baada ya kucheza michezo 17 kila mmoja, Arsenal na Palace wamepishana kwa pointi 1 pekee. Matokeo ya ushindi kwa timu yeyote kati yao, yataongeza wigo wa tofauti ya pointi. Meridianbet tumekuwekea odds ya 1.62 kwa ushindi wa Arsenal.


Jumanne hii kuna moto utawaka pale Estadio Wanda Metropolitano, Atletico Madrid kuwaalika Sevilla. Hapatoshi! Atletico bado wanashikilia msimamo wa La Liga Sentander wakiwa wamepoteza mchezo 1 pekee kati ya 15 waliyocheza mpaka sasa. Meridianbet tumekuwekea Odds ambazo kimsingi hazipatikani popote ila kwenye nyumba ya mabingwa pekee!! Atletico Madrid amepatiwa faida ya kuendelea kuwa wababe kwa Odds ya 2.15.


Kule nchini Uholanzi, ligi soka nchini humo – Everdise itapambwa kwa mchezo wa PSV vs AZ Alkamaar siku ya Jumatano usiku. PSV na Alkamaar wamepishana pointi 6 tu baada ya michezo 15 kwa kila timu. PSV anashika nafasi ya 2 nyuma ya Ajax wakati ambapo Alkamaar anakamata nafasi ya 5 kwenye msimamo wa Everdise msimu huu. Meridianbet tumewaheshimu PSV na kuwapatia faida kwa odds ya 1.85, tunaposema nyumba yenye odds kubwa, tunamaanisha!! Ungana na mabingwa wa michezo ya kubashiri!


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad