MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWAFARIJI MAJERUHI WA AJALI YA TRENI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, 3 January 2021

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWAFARIJI MAJERUHI WA AJALI YA TRENI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mtoto Ali Kayuni (8) Mkazi wa Kondoa anaepatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General Jijini Dodoma leo Januari 03,2021 baada ya kupata ajali ya kujeruhiwa na Umeme. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji bibi Mariam Malembo (24) Mkazi wa Morogoro mmoja kati ya Majeruhi wa ajali ya Treni iliyotokea jana usiku katika Eneo la Bahi Dodoma wakati Treni hiyo ikitokea Dar es salaam kuelekea Mkoani Kigoma, anaepatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General Jijini Dodoma leo Januari 03,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji Majeruhi wa ajali ya Treni iliyotokea jana usiku katika Eneo la Bahi Dodoma wakati ikitokea Dar es salaam kuelekea Mkoani Kigoma, wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa General Jijini Dodoma leo Januari 03,2021.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad