HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 10, 2020

ZANZIBAR WAFANYA DUA MAALUM YA KUMUOMBEA RAIS DK. HUSSEIN ALI MWINYI LEO

 


Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiomba dua wakati Kisomo maaalum cha Kuiombea dua Nchi pamoja na Kumuoimbea Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati), katika   Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar ambapo Viongozi mbali mbali walishiuriki katika Dua hiyo iliyofanyika leo. [Picha na Ikulu) 10/12/2020.

Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakiitikia Dua maalum  ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  katika   Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu) 10/12/2020.

Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia)  Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume (kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu wakiitikia dua  maalum  ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  katika   Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu) 10/12/2020. 

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisoma dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea dua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) iliyofanyika leo katika   Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar  (wa pili kulia) Makamo wa Pili wa Rais Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi.[Picha na Ikulu) 10/12/ 2020. 

Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakiitikia Dua maalum  ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  katika   Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu) 10/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiitikia  dua maalum ya kuiombea Nchi amani na utulivu pamoja na kumuombea Rais iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kulia) dua iliyofanyika leo katika   Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar  (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria ,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman .[Picha na Ikulu) 10/12/2020.

Baadhi ya Kinamama waliohudhuria katika  Dua maalum ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na kuiombea nchi yetu kuwa na Amani na utulivu iliyofanyika leo  katika msikiti wa Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 10/12/2020.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi (katikati) pamoja na wake wa Viongozi wakuu wa Nchi na Wananchi mbali mbali wakiwa katika Dua maalum ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na kuiombea nchi yetu kuwa na Amani na utulivu iliyofanyika leo  katika msikiti wa Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 10/12/2020.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad