WIKI YA 15 NDANI YA EPL, LONDON KUUNGURUMA KWA MECHI KABAMBE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 26 December 2020

WIKI YA 15 NDANI YA EPL, LONDON KUUNGURUMA KWA MECHI KABAMBE


MSIMU huu wa sikukuu unanogeshwa zaidi na michezo ya EPL. Kumekuwa na utamaduni wa muda mrefu kwenye msimamo wa EPL timu inayokuwa kileleni wakati wa sikukuu mara nyingi huwa na nafasi kubwa ya kuibuka vinara wa msimu.


Hali itakuaje msimu huu?

Arsenal watawakaribisha Chelsea katika dimba la Emirate Stadium. Huu ni mchezo utakaozikutanisha timu mbili zenye historia kubwa na soka la Uingereza. Kuanzia kwa makocha mpaka wachezaji wa timu hizi, wanahistoria za aina yake.

Ni timu ambazo zinauhusiano mzuri kwenye biashara ya kuuziana wachezaji lakini pia zinamakocha ambao wote waliwahi kuwa wachezaji wa vilabu hivi walishakutana kama wachezaji na sasa wanakutana tena kama makocha.

Mpaka kufikia mchezo huu, Arsenal wanasuasua kwenye EPL na wapo katika nafasi za chini kwenye msimamo wa EPL huku Chelsea akiwa na matokeo ya kupanda na kushuka, kwa sasa yupo kwenye nafasi za katikati kwenye msimamo wa Ligi.

Kitakwimu, Arsenal na Chelsea wameshakutana mara 201. Arsenal wameibuka vinara mara 78, wametoka sare mara 58 na amepoteza michezo 65 dhidi ya Chelsea.
 
Sambamba na mchezo huu, Leicester City watakuwa nyumbani kuwakaribisha Manchester United. Huu ni mchezo wa kuendelea kuisaka namba 1 kwenye msimamo wa EPL. Mshindi wa mchezo huu atakua amejiimarisha kwenye nafasi ya 2 ya msimamo wa EPL.

Wataalamu wa Meridian,wamekuwekea odds za kibingwa kwa michezo hii na mingine mingi hapa.

Jisajili na Meridiabet hapana furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia Kwikpay, M-PESA au Aietel Money Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya asilimia 100 inakusubiri.

5 comments:

Post Bottom Ad