WAZIRI WA UWEKEZAJI PROF. KITILA MKUMBO AKABIDHIWA OFISI RASMI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 10 December 2020

WAZIRI WA UWEKEZAJI PROF. KITILA MKUMBO AKABIDHIWA OFISI RASMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akikabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki hii leo Disemba 10, 2020 Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki. Kulia ni Katibu Mkuu Ikulu, Dkt. Moses Kasiluka. Kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Bi. Dorothy Mwaluko.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad